nai nai, haki ya mungu walai, ninakuzimia i was shy, shy,you remember that day, niliyokutokea wanasema why, why, penzi lako sikatai, limenikolea ushanitoa nishai, shai, wengine hawafai, nimejionea ai nyota haing'ai, ng'ai, bila we haing'ai, unaniwezea
jamani, why, why why, why why, why i feel to die, die die, die die, die jamani, why, why why, why why, why
nai nai, ukinikubali sikatai, jua you're already in my mind ukinipa sikatai, nakupenda sana you're always in my mind always in my mind, fujo zinanimaliza always in my mind, always in my mind
shopping to the Thai iwe china au dubai, nitagharamia walosema haufai, wako wapi walaghai, wangetupania mwenzio najidai, ai, kuwa nawe najidai, nakupenda dear nipe nifurahi, nipe yote nifurahi, wangu malikia motema nangai,ngai, usukari ninywe chai, umenikolea
jamani, why, why why, why why, why i feel to die, die die, die die, die jamani, why, why why, why why, why
nai nai, ukinikubali sikatai, jua you're already in my mind ukinipa sikatai, nakupenda sana you're always in my mind always in my mind, fujo zinanimaliza always in my mind, always in my mind
ohhh you're always in my mind you're always in my mind you're always in my mind you're always in my mind heeeyyy ohhhh you're always in my mind ohhhh I need you you're always, you're always in my mind you're always .... yeah