Jambo, Jambo Bwana, (Hello, Hello Sir) /
Jambo, Jambo sana (Привет, Большой Привет)
Habari gani, (How are you)
Mzuri sana. (Very fine)
Wageni, mwakaribishwa, (Foreigners, you're welcome)
Kenya yetu Hakuna Matata. (In our Kenya there is no problem)
Kenya nchi nzuri, (Kenya is a beautiful country)
Hakuna Matata. (There is no problem)
Nchi ya maajabu (A wonderful country)
Hakuna Matata.
Nchi yenye amani, (A peaceful country)
Hakuna Matata.
Hakuna Matata,
Hakuna Matata.
Watu wote, (Everybody)
Hakuna Matata,
Wakaribishwa,
Hakuna Matata.
Hakuna Matata,
Hakuna Matata
African Music еще тексты
Оценка текста
Статистика страницы на pesni.guru ▼
Просмотров сегодня: 1